Loading...

MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU

Loading...
MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU
link : MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU

soma pia


MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud (kulia) wakati akiwasili kwenye ufunguzi wa Kongamano la Pili la Maadhimisho ya kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume linalofanyika kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Zanzibar Bubu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Ndugu Stephen Wasira (kushoto)wakati akiwasili kwenye ufunguzi wa Kongamano la Pili la Maadhimisho ya kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume linalofanyika kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Zanzibar Bubu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
:Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Kongamano Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Amiri Kificho wakati akiwasili kwenye ufunguzi wa Kongamano la Pili la Maadhimisho ya kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume linalofanyika kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Zanzibar Bubu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/makamu-wa-rais-alipowasili-kwenye-chuo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS ALIPOWASILI KWENYE CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBU"

Post a Comment

Loading...