Loading...
title : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TWIGA STARS
link : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TWIGA STARS
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TWIGA STARS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo ameitembelea Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe mapema leo alipoitembelea Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo alipoitembelea Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars alipoitembelea timu hiyo leo katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TWIGA STARS
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TWIGA STARS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TWIGA STARS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/makamu-wa-rais-atembelea-kambi-ya-timu.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TWIGA STARS"
Post a Comment