Loading...
title : Mauaji ya watu saba Yaitikisa Tabora
link : Mauaji ya watu saba Yaitikisa Tabora
Mauaji ya watu saba Yaitikisa Tabora
Na. Editha Edward
Kamishina msaidizi wa polisi mkoa wa Tabora ACP Emmanuel Nley kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya nzega wanawashikilia watu watano kwa uchunguzi zaidi kutokana na mauaji yaliyofanyika mapema hii leo katika kijiji cha Luzulo kata ya mizibaziba wilaya ya nzega mkoani Tabora .
Tukio la watu hao wamekamatwa na jeshi la polisi Baada ya mwanamke mmoja aliyefahamika kwa Jina la Nana Maganga (35) kujichukulia sheria mkononi ya kuwauwa watoto sita akiwemo mtoto mmoja wa kaka yake na watoto watano wa kuzaa mwenyewe
watoto hao waliouawa ni pamoja na pala masanja (3) Shija Dotto(2) Nyawele Dotto (2) Sida Dotto (5) Kulwa Dotto (4) na Dotto Dotto (4)
Kwa upande wa mashuhuda wa Tukio hilo wameileza Michuzi Blog kuwa wamepokea taarifa za mauaji hayo kwa masikituko maana watoto hao walitegemewa kuwa viongozi wa taifa la kesho
Aidha Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya nzega Bw. Godfrey Ngupula amewataka wananchi kutokujichukulia sheria mkononi za kutekeleza mauaji ya binadamu yeyote maana ni kinyume cha sheria na taratibu za Jamhuri ya muungano wa Tanzania na kuwataka wananchi kutoa taarifa katika vyombo vya sheria na vyanzo vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kutafuta muafaka na njia sahihi.
Baadhi ya Wanakijiji wakiwa wamekusanyika kwa huzuni kwenye moja ya nyumba
Kamishina msaidizi wa polisi mkoa wa Tabora ACP Emmanuel Nley pamoja na Mkuu wa wilaya ya nzega Bw. Godfrey Ngupula wakiwa katika eneo la tukio
Kamishina msaidizi wa polisi mkoa wa Tabora ACP Emmanuel Nley pamoja na Mkuu wa wilaya ya nzega Bw. Godfrey Ngupula wakiwa katika eneo la tukio
Moja ya kifaa kinachodaiwa kutumika kufanyia mauaji hayo
Kamishina msaidizi wa polisi mkoa wa Tabora ACP Emmanuel Nley pamoja na Mkuu wa wilaya ya nzega Bw. Godfrey Ngupula wakiwa katika eneo la tukio
Moja ya kifaa kinachodaiwa kutumika kufanyia mauaji hayo
Hivyo makala Mauaji ya watu saba Yaitikisa Tabora
yaani makala yote Mauaji ya watu saba Yaitikisa Tabora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mauaji ya watu saba Yaitikisa Tabora mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mauaji-ya-watu-saba-yaitikisa-tabora.html
0 Response to "Mauaji ya watu saba Yaitikisa Tabora"
Post a Comment