Loading...

MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA

Loading...
MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA
link : MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA

soma pia


MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari akifungua mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume (AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) uliofanyika jiji Dar es Salaam. 
Wadau wa Usafiri wa Anga wakifuatilia wasilisho la Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume (AAKIA) na Kilimanjaro (KIA) ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na kufanyika jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi wa Uendeshaji na Ufundi wa KADCO Mhandisi Martin Kinyamagoha akizungumza kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO). 
Mkurugenzi wa Viwanja ZAA, Zaina Ibrahim Mwalukuta akizungumza kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO). 
Meneja Usalama wa KADCO , Kisusi Justine Makomondi akiwasilisha pendekezo kwa wadau katika mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro (KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO). 
Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti wa Huduma Viwanjani, Mhandisi Wales Cassius Chiwawa akifuatilia wasilisho la Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume (AAKIA) na Kilimanjaro (KIA) ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na kufanyika jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza Johari (kulia) akizungumza na Mwandishi wa Habari wa Televisheni ya Azam, Temaluge Kasuga, kwenye mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO). 
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Usafiri wa Anga TCAA , Burhan Majaliwa (kulia) akiongea na wadau katika mkutano wa wadau kujadili uanzishwaji wa tozo za usalama katika Viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Abeid Amani Karume(AAKIA) na Kilimanjaro(KIA) zilizopendekezwa na Menejimenti za Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA) na Kampuni ya Maendeleo Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO).


Hivyo makala MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA

yaani makala yote MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/menejimenti-ya-zaa-na-kadco-wakutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MENEJIMENTI YA ZAA NA KADCO WAKUTANA NA WADAU KUJADILI TOZO ZA USALAMA VIWANJA VYA NDEGE VYA KIMATAIFA"

Post a Comment

Loading...