Loading...

MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI

Loading...
MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI
link : MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI

soma pia


MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
FAILUNA Abdi Matanga kutoka Tanzania ameshika nafasi ya tatu  katika mbio za Hispa Hambarg marathoni kwa upande wa wa wanawake mashindano yaliyomalizika leo mchana nchini Ujerumani na kuvunja rekodi ya muda wake wa awali.

Failuna amekimbia kwa muda wa saa 2:27:56 na kutunukiwa medali ya shaba huku mkimbiaji mwingine kutoka Tanzania Gloria Makula akishiaka nafasi ya 30 baada ya kukimbia kwa muda wa 2:49:07.

Failuna aliachwa kwa muda wa dakika tatu na mshindi wa medali ya dhahabu wa mbio hizo Dibabe Kuma kutoka nchini Ethiopia ambaye alitumia saa 2:24:42 huku nafasi ya pili ikishikiliwa  Magdalyne Masai kutoka Kenya aliyekimbia kwa saa 2:26:04.

Kupitia ujumbe wa Whatsap Failuna amesema kuwa alitamani kushinda medali ya dhahabu lakini alipitwa dakika za mwishoni.

Katika mashindano hayo kwa upande wa wanaume Tadu Abate  kutoka Ethiopia ameshinda baada ya kukimbia kwa saa 2:08:26 huku raia mwingine kutoka Ethiopia Ayele Abshero akimaliza nafasi ya pili kwa kutumia saa 2: 08:27 wakimwacha mshindi na bingwa wa Olympiki wa mwaka 2012 Stephen Kiprotich kutoka Uganda aliyeshika nafasi ya tatu.


Hivyo makala MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI

yaani makala yote MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mtanzania-angara-mbio-za-marathoni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MTANZANIA ANG'ARA MBIO ZA MARATHONI UJERUMANI"

Post a Comment

Loading...