Loading...
title : Mtoto mchanga wa siku mbili atupwa katika Choo cha shule ya sekondari ya kazima manispaa ya tabora
link : Mtoto mchanga wa siku mbili atupwa katika Choo cha shule ya sekondari ya kazima manispaa ya tabora
Mtoto mchanga wa siku mbili atupwa katika Choo cha shule ya sekondari ya kazima manispaa ya tabora
Na Editha Edward wa Michuzi Blog, Tabora
Maiti ya mtoto mchanga anaekadiriwa kuwa na umri wa siku mbili amekutwa kwenye choo cha wasichana katika shule ya sekondari Kazima iliyopo manispaa ya Tabora na kusababisha taharuki kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo
Akizungumza na Michuzi Blog katika eneo la tukio mara baada ya kuvunja choo hicho mkaguzi msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani hapa Bi.Vailleth Machechu amekemea kitendo hicho cha kikatili kilichofanywa mkoani humo.
Aidha mkuu wa shule hiyo ya sekondari ya kazima Bw. Mrisho Kuvuluga amesema kuwa kitendo hicho kinaweza kuwa kimefanywa na wananchi kutoka nje ya shule kutokana na kichanga hicho kuonekana na umri wa siku mbili na shuleni hapo utaratibu wa kupima ujauzito wanafunzi wa kike unafanywa kila msimu wa masomo.
Wauguzi wakiandaa mwili wa kichanga hicho baada ya kuuopoa chooni
Choo cha wasichana katika shule ya sekondari Kazima manispaa ya Tabora kilipokutwa kichanga hicho. Picha na Edith Edward
Hivyo makala Mtoto mchanga wa siku mbili atupwa katika Choo cha shule ya sekondari ya kazima manispaa ya tabora
yaani makala yote Mtoto mchanga wa siku mbili atupwa katika Choo cha shule ya sekondari ya kazima manispaa ya tabora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mtoto mchanga wa siku mbili atupwa katika Choo cha shule ya sekondari ya kazima manispaa ya tabora mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mtoto-mchanga-wa-siku-mbili-atupwa.html
0 Response to "Mtoto mchanga wa siku mbili atupwa katika Choo cha shule ya sekondari ya kazima manispaa ya tabora"
Post a Comment