Loading...

NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU

Loading...
NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU
link : NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU

soma pia


NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU

Na Joseph Mpangala-Mtwara.

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evodius Mmanda amewataka Mananchi waliofika eneo la Uwanja wa Ndege Mkoani Mtwara kwa ajili ya kujihifadhi kuhakikisha wanajiorodhesha katika kitabu cha Kumbukumbu ili kuepuka kupoteana.

Mmanda ameyasema hayo wakati akitembelea maeneo maalum  yaliyotengwa kwa ajili ya kujihifadhi kufuatia tahadhali iliyototelewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania TMA ya kuwepo kwa Kimbunga Keneth ambacho kilitabiriwa kutokea Alhamis Wiki Hii.

Aidha Mmanda amewaomba wananchi hao kuwapa taarifa wenzao ambao wamekaidi kuondoka majumbani mwao na kuelekea maeneo yaliyotajwa.

Maeneo yaliyoandaliwa kwa Mwananchi kujihifadhi ni Shule ya Mitengo,Sabasaba,Uwanja wa Ndege,Naliendele pamoja na Shule ya sekondari ya Sabodo.

Wafanyakazi wa Serikali pamoja na wanafunzi wameagizwa kutokwenda kutokana na Utabiri wa Uwepo wa Kimbunga Keneth siku ya alhamis.
 Baadhi ya Wananchii wamekusanyika katika Eneo la Uwanja wa Ndege Mkoani Mtwara kwa Tahadhari ya kujilinda na Kimbunga Kenneth kilichotabiriwa kutokea Leo na Mamlaka ya Hali ha Hewa Tanzania TMA.
 Mkuu wa Wilaya ya Mtwara mjini Mh.Evodius Mmanda  akizungumza na baadhi ya Wananchi waliokusanyika katika uwanja wa ndege  Mkoani Mtwara kwa tahadhari ya kujilinda na Kimbunga Kenneth kilichotabiriwa kutokea leo na Mamlaka ya Hali ha Hewa Tanzania TMA.
 Baadhi ya Wananchi wakiwa wamekusanyika kwa pamoja 



Hivyo makala NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU

yaani makala yote NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/newz-alert-wananchi-wakusanyika-uwanja.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NEWZ ALERT: WANANCHI WAKUSANYIKA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUCHUKUA TAHADHARI YA KIMBUNGA KENETH,WAOMBWA KUJIORODHSESHA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU"

Post a Comment

Loading...