Loading...

Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja

Loading...
Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja
link : Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja

soma pia


Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja

Na, Editha Edward-Tabora 

Watu Watano wa Familia moja katika kijiji cha Isonge Kata ya Sikonge Mkoani Tabora wameuawa na watatu kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na Mvua na Upepo  mkali 

Tukio hilo lililoibua simazi kubwa limetokea usiku wa saa tano  katika kijiji hicho

Nae kaimu Mathew Sipemba ni kaimu Mganga Mfawidhi Wilaya ya Sikonge amesema alipata taarifa hiyo kutoka polisi juu ya tukio hilo na kukuta watu Watano walikuwa tayari wamepoteza maisha

"Ajali ya radi sio nzuri ni kama moto watu hawa wamejikuta wanavuta hewa ya harufu kali na kuunguza mapafu jambo ambalo limepelekea kupoteza maisha kwa watu hawa"Amesema Sipemba

Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Kamishina msaidizi Emmanuel  Nley amesema Radi hiyo ilisababisha ukuta wa nyumba waliyokuwa wamelala familia hiyo kupasuka na kusababisha vifo hivyo
"Nyumba Ilikuwa imejengwa kwa udongo na makuti na kuezekwa kwa nyasi Mvua iliponyesha  ilisababisha ukuta kupasuka na kupelekea tukio hilo kutokea "Amesema Nley

Kamanda Nley amesema katika tukio hili waliopoteza maisha ni Mhindi Peter, Vailleth Juma, Gress Juma Kulwa Lukanya na Nyanzobe Juma

Peter Nzalalila ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge amesema tukio hili lkmeibua simanzi kubwa na amewataka Wananchi wa eneo hilo kuacha kuhusisha tukio hilo na Imani za kishirikina.


Hivyo makala Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja

yaani makala yote Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/radi-yauwa-watu-watano-wa-familia-moja.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Radi Yauwa Watu Watano Wa Familia Moja"

Post a Comment

Loading...