Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA
RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru pamoja na viongozi mbalimbali wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto wanane kutoka kushoto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru wa kumi kutoka (kushoto) pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto kulia pamoja na Mwakilishi Mkuu wa JICA hapa nchini Naofumi Yamamura mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.
Kwaya ya JKT kutoka Tunduru ikiimba katika sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo Tunduru mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tunduru kabla ya kuifungua rasmi barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Tunduru mara baada ya kuwahutubia. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-afungua-barabara-ya_5.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193 TUNDURU MKOANI RUVUMA"
Post a Comment