Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Phaustine Kasike mara baada ya kuwasili katika eneo la Mashamba ya Mahindi ya Gereza la Kilimo na Mifugo la Kitai lililopo Mbinga mkoani Ruvuma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Mashamba ya mahindi ya Gereza la Kilimo na Mifugo la Kitai lililopo Mbinga mkoani Ruvuma huku akitoa maelekezo kwa viongozi hao wa Jeshi la Magereza nchini.
 Sehemu ya Mashamba hayo ya Gereza la Kilimo na Mifugo la Kitai lililopo Mbinga mkoani Ruvuma ambayo yamelimwa ekari 650 za mahindi katika mwaka huu.
  Baadhi ya Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza wakisikiliza hotuba ya . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyokuwa akiitoa katika eneo hilo la Kitai Mbinga mkoani Ruvuma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza katika eneo la Gereza la Kitai mara baada ya kukagua mashamba ya mahindi ya Gereza hilo lililopo Mbinga mkoani Ruvuma.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa na mwanafunzi wa darasa la saba Cristian Josephat Komba ambaye alizungumza kuhusu uchakavu wa vyoo katika  Shule ya Msingi ya Kitai. Rais Dkt. Magufuli alichangia kiasi cha Shilingi milioni tano kwa ajili ya ujenzi wa vyoo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa na mwanafunzi wa darasa la saba Cristian Josephat Komba ambaye alizungumza kuhusu uchakavu wa vyoo katika  Shule ya Msingi ya Kitai. Wapili kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Onesmo Luwena 
 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanafunzi wa katika  Shule ya Msingi ya Kitai mara baada ya kuwachangia kiasi cha Shilingi milioni tano
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Phaustine Kasike mara baada ya kuwahutubia. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-akagua-mashamba-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO LA KITAI MBINGA MKOANI RUVUMA"

Post a Comment

Loading...