Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Bw. Gansam Boodram, Balozi wa Mauritius nchini, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Edwin Mhede pamoja na Maafisa wa Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre Jhumun pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt Edwin Mhede, Maafisa wa Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya kuonana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari akiwa na Mhe. John Chiligati aliyeongozana na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre Jhumun, Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Bw. Gansam Boodram baada ya kuonana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Aprili 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mhe. John Chiligati aliyeongozana na Balozi wa Mauritius nchini Mhe. Jean Pierre Jhumun, Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Bw. Gansam Boodram pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Dkt. Edwin Mhede baada ya kuonana na kufanya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Aprili 17, 2019.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-akutana-na-balozi-wa.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU"
Post a Comment