Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE
link : RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE
RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika majani ikiwa ni hatua ya awali ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mitambo ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hatua za kutengeneza majani ya Chai katika mitambo, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliojitokeza katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Joseph Kakunda mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ole Sendeka mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwekezaji wa kiwanda cha chai cha Kabambe Sir Ian Wood kutoka Wood Foundation mara baada ya kufua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-amezindua-azindua.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE"
Post a Comment