Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA
RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili akitokea nchini Malawi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbeya waliofika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyefika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mbalizi wakati akielekea Mbeya mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Mbalizi mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.
Wananchi wa Mafiati jijini Mbeya wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) katika eneo la Mafiati mara baada ya kuhutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzovwe mara baada ya kuwasili katika eneo hilo. PICHA NA IKULU.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-awasili-mkoani-mbeya.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA"
Post a Comment