Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakiminya kitufe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33  katika sherehe zilizofanyika Songea mkoani Ruvuma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg mara baada ya uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu wa umeme KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33  katika sherehe zilizofanyika Songea mkoani Ruvuma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakiangalia mradi huo wa umeme utakavyosambaza umeme katika maeneo mbalimbali kutoka kutoka Makambako hadi Songea
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg, Waziri wa Nishati Medard Kalemani wakielekea eneo la uzinduzi wa mradi huo mkubwa wa usafirishaji wa umeme.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakipungia mikono wananchi waliohudhuria katika sherehe hizo za uzinduzi wa mradi wa umeme.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33  katika sherehe zilizofanyika Songea mkoani Ruvuma.
 Moja ya kituo cha kupooza umeme cha Songea.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kituo Kikuu cha Mabasi cha Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo Kikuu cha Mabasi cha Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
 Sehemu ya wananchi wa Songea mkoani Ruvuma wakiwa ndani ya Uwanja wa mpira wa Majimaji kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-azindua-mradi-mkubwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA"

Post a Comment

Loading...