Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA


3 5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Migori katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati akielekea mkoani Dodoma.
6 7 8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Migori katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati akielekea mkoani Dodoma.
9A 10A
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi pamoja na Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Shilingi milioni 400 katika eneo la Migori mkoani Iringa.
11
Wananchi wa Migori wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Shilingi milioni 400 katika eneo la Migori mkoani Iringa.
12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Iringa kuwashukuru wakati kabla ya kuelekea mkoani Dodoma.
13A
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na machhifu wa Kimila wa mkoa wa Iringa mara baada ya kuwashukuru viongozi mbalimbali wa mkoa wa Iringa.
14 15
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa ameshika Kitambulisho cha Mjasiriamali mdogo  (Mmachinga) ambae amedai kuwa bado wanatozwa ushuru. Rais Dkt. Magufuli amepiga marufuku kudai ushuru kwa wafanyabiashara wote wenye vitambulisho hivyo ambao mtaji wao hauzidi Shilingi milioni 4. PICHA NA IKULU




Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-azungumza-na-wananchi_32.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIGORI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI DODOMA"

Post a Comment

Loading...