Loading...

RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU
link : RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA Dkt. Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa Mahafali ya 14 YA SUZA, akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Profesa Idrisa Rai.(Picha na Ikulu)
 /BAADHI ya Wahitimu wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakiingia katika ukumbi wa Mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 14 ya SUZA wakiingia katika ukumbi wa hafla hiyo ya Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dkt. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili Ndg. Ali Saleh Khalfan, ya Utafiti wa Istilahza Kiswahili :Mfano wa Istalahi za Sayansi ya Komyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, wakati wa hafla ya Mahafali ya 14 ya (SUZA) leo katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein. Tunguu Zanzibar(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dkt Ali Mohamed Shein, akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili ya Vitendo Neni katika Hutuba za Kampeni za Uchaguzi za Mwaka 2015 na Athari zake kwa Wanajamii wa Kisiwani Unguja -Zanzibar. Ndg. Mahmoud Yussuf Haji, wakati wa hafla ya Mahafali ya 14 ya (SUZA) yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein. Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)


 WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla hiyo ya Mahafali ya 14 ya (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein,Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 WAHITIMU wa Shahada ya Utabibu (Madaktari) wakila kiapo baada ya kutunukiwa Shahada yao na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa DK.Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)



Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-wa-zanzibar-ahudhuria-mahafali-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU"

Post a Comment

Loading...