Loading...
title : SHETA, NICK WA PILI WAMCHEZESHA KIDUKU NAIBU WAZIRI WA MAJI
link : SHETA, NICK WA PILI WAMCHEZESHA KIDUKU NAIBU WAZIRI WA MAJI
SHETA, NICK WA PILI WAMCHEZESHA KIDUKU NAIBU WAZIRI WA MAJI
Msanii wa Muziki wa kizazi Bongo fleva , Shetta akicheza na Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso wakati wa uzinduzi wa AWESO CUP Katika Wilaya ya pangani mkoa ni Tanga
Msanii wa Hip Pop nchini Nick wa Pili akiimba kwa pamoja na Naibu Waziri wa Maji Juma Aweso wakati wa uzinduzi wa AWESO CUP iliyofanyika katika Viwanja vya Kumba Wilaya ya Pangani
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Madee akiimba na wakazi wa pangani katika uzinduzi wa AWESO CUP Wilaya ya Pangani Madee ni mmoja ya Wasanii wazawa katika mkoa huo alitumia muda huo kutoa hamasa kwa viajana wa Wilaya pangani kutokata Tamaa.
Kiongozi wa kundi la Uzalendo kwanza na Msanii wa Vichekesho Nchini,Steve Nyerere akizungumza na wakazi wa pangani ni namna gani kupita uzalendo kwanza watakavyoweza kuipaisha wilaya hiyo .
Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara akishukuru kwa wakazi wa pangani kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono mbunge wao na kusema kuwa wao wapo bega kwa kuakikisha pangani inapata maendeleo.
Msanii wa Muziki wa Singeni Dulla Makabila akiwasha moto juu ya jukwaa wakati wa kuhitimsiah uzinduzi wa Mashindano ya AWESO CUP Katika Wilaya ya Pangani.
Kiungo wa Coast Union ya Tanga akipiga mpira kwenda lango la Pangani Kombaini wakati wa mchezo wa uzinduzi wa ligi ya AWESO CUP
Wachezaji wa Coast Union ya Tanga wakimtoka beki wa Pangani Kombani katika Mchezo wa uzinduzi wa AWESO CUP Ambapo Coast Union iliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Mchazaji wa Coast Union ya Tanga na Mchezaji wa Pangani Kombaini wakiwania mpira wakati wa mchezo wa uzinduzi wa ligi ya AWESO CUP iliyofanyika katika uwanja wa Kumba na Coast Union ilipata ushindi wa bao 1-0
Wasanii walioshiriki Tamasha hilo wakiangalia mpira
Wasanii walioshiriki Tamasha hilo wakiangalia mpira a
Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani akiwashukuru wakazi wa Pangani kwa kuweza kufika katika uzinduzi wa AWESO CUP
Hivyo makala SHETA, NICK WA PILI WAMCHEZESHA KIDUKU NAIBU WAZIRI WA MAJI
yaani makala yote SHETA, NICK WA PILI WAMCHEZESHA KIDUKU NAIBU WAZIRI WA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHETA, NICK WA PILI WAMCHEZESHA KIDUKU NAIBU WAZIRI WA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/sheta-nick-wa-pili-wamchezesha-kiduku.html
0 Response to "SHETA, NICK WA PILI WAMCHEZESHA KIDUKU NAIBU WAZIRI WA MAJI"
Post a Comment