Loading...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA

Loading...
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA
link : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA


 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL),  Emilia Monjowa Lifaka (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum na Mwakilishi wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania, Maria Kangoye
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa taarifa za shughuli Mbali mbali zilizofanywa kwa mwaka 2018 na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimpatia zawadi ya Shuka la Kimasai Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA - INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum na Mwakilishi wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania, Maria Kangoye, baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/spika-ndugai-akutana-na-kufanya_5.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...