Loading...

TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam.

Loading...
TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam.
link : TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam.

soma pia


TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam.

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii

KATIKA kuhakikisha nchi inaondokana na Maambukizo mapya ya ukimwi kwa vijana wadogo,Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS) Imepanga kuwakutanisha wadau mbali mbali nchini kwa lengo kuwasaidia wasichana Balehe ili waweze kujitambua na kujiepusha makundi hatarishi.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uhamishaji na Habari kutoka (TACAIDS) Jummanne Isango wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuelezea kongamano la mwaka la wadau wanaotekeleza Afua za kusaidia mabinti wenye Rika Balehe na wanawake vijana.

Isango amesea amesema lengo la mkutano huo imetokana wasichana balehe na wanawake vijana wamekuwa wahanga wakubwa wa athari zinatokana na mdororo wa kijamii na kiuchumi ambazo husababisha kujiingiza katika vitendo vinavyoweza kuhatarisha masuala ya afya.

Hata hivyo.Isango amesema Mkutano huo unaopangwa kufanyika Tarehe 16 April hadi aprili tarehe 17 mwaka huu utafanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu nyerere (JNICC) jijini Dar es Saalam utajikita kutoa elimu kwa makundi hayo kuwapa utayari wa kupambana na changamoto husika,

Amesema mkutano nl huo ni wa mara ya kwanza kufanyika nchini unatajwa kuwakutanisha wadau mbali mbali wa maendeleo pamoja na asasi za kiraia wanaotekeleza afua mbali mbali za kuwasaidia wasichana hao.
Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Habari wa Tacaids Jumanne Isango akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa wadau wa kujadili masuala ya Ukimwi kwa Vijana utaofanyika kesho jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam.

yaani makala yote TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/tacaids-kukutana-na-wadau-kujadili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TACAIDS kukutana na wadau kujadili maambukizo ya ukimwi kwa vijana wadogo jijini Dar es Salaam."

Post a Comment

Loading...