Loading...

TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia

Loading...
TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia
link : TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia

soma pia


TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia


Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa Miguu cha Manispaa ya Kinondoni (KIFA) na  mjumbe wa Chama Cha Mpira wa Miguu cha Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Michael Simon Lupiana (72) maarufu kwa jina la Mzee Lupiana (pichani) amefariki Dunia baada ya kugua muda mfupi.
Mtoto wa marehemu, Lupiana Lupiana alisema kuwa baba yake alilazwa Hospitali yaTaifa ya Muhimbili siku ya Ijumaa Kuu akisumbuliwa na shinikizo la damu (Pressure) na Kisukari ambayo yalisababisha matatizo ya figo na kufariki dunia saa 5.30 usiku wa sikukuu ya Pasaka.
Lupiana alisema kuwa msiba kwa sasa upo nyumbani kwao, Kimara Stop Over na wanatarajia kuzika siku ya Jumatano kwenye makaburi ya Kinondoni.
 “Kwa sasa tupo katika harakati za kukamilisha masuala mbalimbali ya msiba wa mpendwa Baba yetu na matarajio ni kumpunzisha katika nyumba yake ya milele siku ya Jumatano kwenye makaburi ya Kinondoni, taratibu nyingine zitatolewa baadaye,” alisema Lupiana.
Hiki kilikuwa kipindi cha pili cha uongozi cha marehemu Mzee Lupiana ambapo mwakani alikuwa anamalizia muda wake.
 Mbali ya kuwa kiongozi wa mpira, marehemu pia alikuwa mwenyekiti wa chama cha wachimbaji wa wadogowadogo madini ya kujengea (DACOREMA) na aliwahi kuwa diwani wa Kata ya Kinondoni.
Attachments area


Hivyo makala TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia

yaani makala yote TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/tanzia-mwenyekiti-chama-cha-mpira-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA: Mwenyekiti Chama cha mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Mzee Lupiana afariki Dunia"

Post a Comment

Loading...