Loading...
title : Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wafanikiwa kupata ufadhili wa masomo (scholarship) 160 kwa Watanzania
link : Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wafanikiwa kupata ufadhili wa masomo (scholarship) 160 kwa Watanzania
Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wafanikiwa kupata ufadhili wa masomo (scholarship) 160 kwa Watanzania
Katika jitihada za kutafutia Watanzania nafasi za masomo nje ya nchi, Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia umefanikiwa kupata ufadhili (scholarships) kwa wanafunzi 160 katika fani mbalimbali.
Kwa mujibu wa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt Ramadhani Dau, Ufadhili huo ambao umetolewa na Chuo Kikuu cha UNISEL (University of Selangor) kilichopo Kuala Lumpur una thamani ya USD 1,851,860 sawa na shs 4,287,084,410 za Tanzania.
Dkt. Dau amesema ufadhili huo wa masomo utahusu fani zifuatazo:
1. Bachelor of Civil Engineering
2. Bachelor of Electrical Engineering
3. Bachelor of Mechanical Engineering
4. Bachelor of Occupational Health and Safety
5. Bachelor of Medical Laboratory
6. Bachelor of Industrial Biotechnology
7. Bachelor of Computer Science
8. Bachelor of Information Technology
Chuo Kikuu cha Selangor ni miongoni mwa vyuo vya Serikali ambacho kilianzishwa mwaka 1999 na kina program za masomo zaidi ya 90 kwenye ngazi mbalimbali kuanzia stashahada hadi shahada ya uzamivu (PhD). Kwa sasa UNISEL ina wanafunzi
13,500
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau akipokea barua rasmi ya ufadhili huo wa masomo kutoka kwa Profesa Dkt. Mohammad Ridhwan Othman wa
Chuo Kikuu cha UNISEL University of Selangor jijini Kuala Lumpur leo
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau akipokea barua rasmi ya ufadhili huo wa masomo kutoka kwa Profesa Dkt. Mohammad Ridhwan Othman wa
Chuo Kikuu cha UNISEL University of Selangor jijini Kuala Lumpur leo
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau akiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa barua rasmi ya ufadhili huo wa masomo kutoka kwa Profesa Dkt. Mohammad Ridhwan Othman wa Chuo Kikuu cha UNISEL University of Selangor jijini Kuala Lumpur leo
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau akitembezwa kwenye maeneo mbalimbali ya chuo baada ya kukabidhiwa barua rasmi ya ufadhili huo wa masomo kutoka kwa Profesa Dkt. Mohammad Ridhwan Othman wa Chuo Kikuu cha UNISEL University of Selangor jijini Kuala Lumpur leo
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau akitembezwa kwenye maeneo mbalimbali ya chuo baada ya kukabidhiwa barua rasmi ya ufadhili huo wa masomo kutoka kwa Profesa Dkt. Mohammad Ridhwan Othman wa Chuo Kikuu cha UNISEL University of Selangor jijini Kuala Lumpur leo
Hivyo makala Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wafanikiwa kupata ufadhili wa masomo (scholarship) 160 kwa Watanzania
yaani makala yote Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wafanikiwa kupata ufadhili wa masomo (scholarship) 160 kwa Watanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wafanikiwa kupata ufadhili wa masomo (scholarship) 160 kwa Watanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/ubalozi-wa-tanzania-nchini-malaysia.html
0 Response to "Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wafanikiwa kupata ufadhili wa masomo (scholarship) 160 kwa Watanzania"
Post a Comment