Loading...

Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar

Loading...
Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar
link : Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar

soma pia


Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar

 Mkuu wa Mauzo Kanda ya Dar na Pwani, George Lugata  (kushoto) na bwana  Mirza Ngoshani (mwenye Tshirt ya blue)   wakikata utepe kuzindua duka jipya la Vodacom katika jengo la Aura mall hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa, kampuni ya Vodacom ina maduka 100 na inaendelea kupanua upatikanaji wa huduma ili kuwawezesha wateja wake kupata huduma kirahisi zaidi. Wengine pichani ni watoa huduma wa duka hilo duka hilo jipya litakalotoa huduma kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tatu usiku. 
Mkuu wa Mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar na Pwani, George Lugata (wa pili kulia) akizungumza na wageni na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania baada ya uzinduzi wa duka jipya la kampuni hiyo lililopo katika jengo la Aura mall jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom ina maduka 100 na inaendelea kupanua upatikanaji wa huduma ili kuwawezesha wateja wake kupata huduma kirahisi zaidi. Wengine pichani ni watoa huduma wa duka hilo duka hilo jipya litakalotoa huduma kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tatu usiku.     


Hivyo makala Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar

yaani makala yote Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/vodacom-tanzania-yazindua-duka-jipya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar"

Post a Comment

Loading...