Loading...

Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV.

Loading...
Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV.
link : Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV.

soma pia


Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV.

Dk Fatma Kamus aliwasilisha mada juu ya Umuhimu wa Kutumia dawan za ARV kwa watu wenye VVU, wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari Kisiwnai Pemba, yaliyoandaliwa na Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake
BAADHI ya Waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya Habari wakifuatila kwa makini, uwasilishaji wa mada umuhimu wa kutumia dawa za ARV kwa watu wanaishi na VVU Pemba, mfunzo hayo yaliyoandaliwa na  Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake
BAADHI ya watendaji wa Tume ya Ukimwi zZanzibar (ZAC), wakwanza kushoto ni  Zaina Abdalla Mzee, katikati ni  Siahaba Saadat Iddi na Ali Mbarouk Omar, wakifuatilia kwa makini  uwasilishaji wa mada juu ya Umuhimu wa kutumia dawa za ARV kwa watu wanaoishi na VVU Pemba, wakati wa   mfunzo yaliyoandaliwa na  Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake.
MWANDISHI wa habari wa ZBC Kassim Amoud akipiga picha kuona jinsigani Dawa za ARV zilivyohifadhiwa, wakati wa  mfunzo hayo yaliyoandaliwa na  Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman Pemba)


Hivyo makala Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV.

yaani makala yote Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/waandishi-wa-habari-kisiwani-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV."

Post a Comment

Loading...