Loading...

WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU

Loading...
WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU
link : WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU

soma pia


WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU

Na Karama Kenyunko, globu ya jami

WAFANYABASHRA wawili wakazi wa jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kula njama na kijipatia zaidi ya sh. Milioni 150 kwa njia ya udanganyifu .

Washtakiwa hao, Laurean Wambura (60) anaishi Mbezi Mshikamano na Allan Kwayu (25) wa Bunju Baharini wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando.

Imedaiwa, katika siku tofauti tofauti kati ya Oktoba 2018 na Februari 2019, jijini Dar es Salaam, washtakiwa walitenda kosa la kujipatia RedHawks kwa njia ya udanganyifu.

Katika shtaka la pili, imedaiwa kati ya Januari 29 na February 27 mwaka huu, katika benki ya Exim tawi la Samora Avenue, washtakiwa kwa nia ya kudanganya au kutapeli, walijipatia USD 66,000 ambazo ni sawa na Sh. 150,678000  kutoka kwenye Akaunti ya Apollo international.  Kwa kudanganya kuwa wangewauzia copper Cathodes huku wakijua kuwa siyo kweli.

Hata hivyo, washtakiwa wako nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya mahakama yaliyowataka kuwa na wadhamini wawili kila mmoja na kuwasilisha hati ya Mali isiyohamishika yenye thamani ya nusu ya fedha wanazodaiwa kutapeli. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 2, mwaka huu.



Hivyo makala WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU

yaani makala yote WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/wafanyabiashara-wawali-kortini-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAFANYABIASHARA WAWALI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUJIPATIA SH.MILIONI 50 KWA NJIA YA UDANGANYIFU"

Post a Comment

Loading...