Loading...

WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI

Loading...
WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI
link : WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI

soma pia


WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI

 Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Joyce Mbunju, akielekeza jambo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kiteto, mkoani Manyara, kuhusu umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati. 
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Dirma, mkoani Manyara, wakimsikiliza Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Judith Aron (hayupo pichani), alipofika shuleni hapo kuhamasisha umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati.
 Wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, wakigawa zawadi za madaftari na kalamu kwa mwanafunzi Esther Paschal wa Shule ya Sekondari Dirma, mkoani Manyara, aliyefanya vizuri katika masomo ya Sayansi. 
Wahandisi wanawake kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya kutwa ya Babati, mkoani Manyara, mara baada ya kutoa elimu ya umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati kwa wanafunzi hao.
Picha na WUUM




Hivyo makala WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI

yaani makala yote WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/wahandisi-watembelea-shule-za-manyara.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI"

Post a Comment

Loading...