Loading...

WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI

Loading...
WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI
link : WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI

soma pia


WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI

Muwakilishi wa Mkurugenzi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutoka Dawti la Jinsia la Wizara hiyo Lilian Ibengwe akizungumza na Wanawake wanaochakata Mazao ya uvuvi ni namna gani Serikali ilivyofungua fursa kwao katika dhana ya ushiriki na ushirikishwaji wa kurekebisha sheria mpya ya Uvuvi kwa kuwataka wanawake wa vuvi nchini kuweka maoni yao hili yaweze kuingizwa katika Rasimu ya sheria hiyo kwa mwaka huu.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserilakali la EMEDO, Editrudith Lukanga akizungumza namna ya shirika lake lilivyopambana kufanikisha kupatikana chama cha Wanawake Wavuvi nchini TAWFA na Hatimaye leo wanajadili rasimu ya sheria hili iweze kutambua haki za wanawake Wavuvi nchini.
Afisa Miradi kutoka shirika lisilo la kiserikali la Sea Sense Organisation, Emmanuel Mabula akieleza ni namna gani shirika lake lilivuojizatiti kumuinua Mwanamke Mvuvi nchini hili aweze kumiliki uchumi.
Mkurugenzi wa Sauti ya Wanawake Ukerewe, Sophia Donald akizungumzia Mikataba ambayo Taifa limeingia kusaidia kuleta usawa kwa wanawake bila ya kujali wanatoka katika sekta gani na kuwataka wanawake kuwa shupavu na kusimama kidete kutetea maslahi ya na taifa kwa ujumla
Sehemu ya Wanawake Wavuvi nchini ambao ni Wanachama wa TAWFA Wakisikiliza mada kutoka kwa wawezeshaji juu ya Rasimu ya Sheria ya uvuvi nchini na mazo yake.
Wanawake ambao ni Wanachama wa Chama Cha Wanawake Wavuvi Nchini wakiwa katika Picha ya pamoja wakati wa mkutano wa kujadili Rasimu ya sheria ya uvuvi.


Hivyo makala WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI

yaani makala yote WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/wanawake-wanaojishughulisha-na-uvuvi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANAWAKE WANAOJISHUGHULISHA NA UVUVI WAJADILI RASIMU YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA UVUVI NCHINI"

Post a Comment

Loading...