Loading...

WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO

Loading...
WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO
link : WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO

soma pia


WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO

Ay,Mwanafa wadaiwa  kudhulumiwa haki zao

WASANII  wote nchini wameombwa kujitathimini upya katika mikataba au makubaliano wanayoingia na makampuni, mashirika, wamiliki wa filamu kwenye kazi zao.

Akizungumza na wasanii wakili wa wasanii Alberto Msando  katika kongamano la waigizaji lililoandaliwa na  bodi ya filamu (TFB)  pamoja na chama cha waigizaji (TDFAA)  lililofanyika ukumbi wa Suma JKT Mwenge jijini Dar es salaam. amesema ni wakati wa Wasanii kujitathimini na kuingia makubaliano ya kikazi kwa njia ya maandishi ili kuepuka unyonywaji na utapeli kwenye malipo baada ya kazi na kabla ya kazi.

"Mikataba inasaidia wasanii kuwa na adabu na nidhamu ya kazi kutokana na kumtaka muda maalum kuwepo kwenye kazi na hata hivyo inamsaidia msanii kudai stahiki zake  haraka huku akiwa na vielelezo husika ," alisema Msando.

Msando amewataja baadi ya wadau wakiwemmo waandaaji wa filamu,watunzi wa filamu pamoja na watengenezaji wa matangazo ambao wanawatumia wasanii kwenye matangazo hayo, kuwa na leseni za kikazi ili kutambulika kisheria.

Halikadhalika amewatolea mfano wasanii kama Ambwene Yesya a.ka AY Khamisi Mwinjuma a.k.a MwanaFA,Wema Sepetu pamoja na Masanja Mkandamizaji ambao wameshapata matatizo kwenye kazi zao kutokana na mikataba wanayoingia na wakifika katika mikono sheria wanafanikiwa kupata haki zao ,Hivyo amewasihi wasanii kufika kwenye vyombo vya sheria au hata kusaini mikataba na kuhusisha Mawakili .

Pia ametoa rai kwa wasanii kujiandikisha kwenye vyama vya sanaa,bodi ya filamu pamoja baraza la sanaa ili kutambulika kama msanii mwenye kutambulika.



Hivyo makala WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO

yaani makala yote WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/wasanii-washauriwa-kuhusisha-mawakili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASANII WASHAURIWA KUHUSISHA MAWAKILI KWENYE MIKATABA YA KAZI ZAO"

Post a Comment

Loading...