Loading...

WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME

Loading...
WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME
link : WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME

soma pia


WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME



KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME.

Mnamo tarehe 01.04.2019 saa 23:00 usiku huko Kitongoji cha Mwaisongoli, Kijiji cha Mpunguti, Kata ya Ikama, Tarafa ya Ntebela, Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya liliwakamata watu wawili waliofahamika kwa majina ya 1. ELIA CHARLES [24] na 2. AMIR OMAR [27] wote vibarua wa Kampuni ya Umeme wa REA – STEG International Service na wakazi wa Tukuyu Wilaya ya Rungwe kwa kuharibu miundombinu ya umeme.

Watuhumiwa walikamatwa wakiwa wanakata nyaya za umeme za kampuni ya REA – STEG International Service kwa kutumia plaizi kwa lengo la kwenda kuuza ili wajipatie fedha. Thamani halisi ya uharibifu huo bado kufahamika. Watuhumiwa wanaendelea kuhojiwa na watafikishwa Mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika.

MAUAJI – MBEYA MJINI.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawasaka watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la AIDAN PAUL CHONGOLA [27] Mkazi wa Hayanga, Dereva Bodaboda.

Ni kwamba mnamo tarehe 03.04.2019 saa 02:00 usiku huko maeneo ya Ilomba, Jijini Mbeya, marehemu akiwa katika kituo chake cha kazi akiwa na Pikipiki yake yenye namba za usajili MC 557 BBT aina ya Kinglion rangi nyeusi alikodishwa na watu wawili wanaume wasiofahamika ili awapeleke Ituha lakini walipofika maeneo ya Ituha Relini watu hao walimchoma kitu chenye ncha kali upande wa kulia tumboni na kusababisha kifo chake na kasha kuondoka na Pikipiki hiyo.

Mwili wa marehemu ulikutwa kando kando ya reli ya Tazara, Mtaa wa Tonya April, 03, 2019 saa 07:00 asubuhi ukiwa na jeraha tumboni. Mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa uchunguzi zaidi wa kitabibu. Aidha msako mkali wa kuwatafuta waliohusika katika tukio hili kwa hatua zaidi za kisheria.


Hivyo makala WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME

yaani makala yote WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/watu-wawili-wanaswa-na-jeshi-la-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATU WAWILI WANASWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA UMEME"

Post a Comment

Loading...