Loading...

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara

Loading...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara
link : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara

soma pia


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara






WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma amewataka watendaji wa Wizara hiyo kutunza Siri za Wizara Kama walivyoahidi katika viapo vyao vya kazi.

Akizungumza na watendaji wote wa Wizara yake katika Skuli ya Sekondari  Haile sselassie  amesema ni kosa la jinai kwa mtumishi wa Serikali kutoa Siri na hatua za kisheria zitachukuliwa kwa mtumishi atakae kwenda kinyume na agizo hilo.

Amesema kila mtumishi anapokuwa katika uajiri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ajue anafata ilani ya Chama Cha  Mapinduzi, hivyo amewataka kutumia itikadi zao wanapokuwa nje ya Ofisi na baada ya kumaliza majukumu yake aliopangiwa.

Aidha Mhe Riziki amewataka wakurugenzi, Wakuu wa divisheni na vitengo vilivyomo katika Wizara ya Elimu kuweka utaratibu wa kuwapongeza watendaji waliochini yao pale wanapofanya vizuri katika majukumu yao ili kuwatia ari ya kuzidi kuipenda kazi yao.

Nae Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohamed Said amewasisitiza watumishi wa Wizara yake kuwa na mashirikiano katika kazi kwani huleta hamasa ya utendaji mzuri wa kazi pamoja na kuondosha ubinafsi ambao unaweza kukwamisha  maendeleo katika sekta ya Elimu nchini.

Nao wafanyakazi wa Wizara hiyo wameiomba Wizara ya Elimu kuzungumza na wahusika wa Halmashauri juu ya kutambua wajibu wao wa kazi kwani kumeonekana kuwepo na mvutano kati ya wafanyakazi wa Wizara na Halmashauri hasa katika masuala ya ugatuzi.

Hata hivyo wameiomba Wizara kutoa sauti yake juu ya masuala ya udhalilishaji kwani baadhi ya wahusika wengi wa kesi hizo ni walimu ambao wanasababisha kuishusha hadhi fani hiyo na kusaidia kutokomeza kabisa vitendo hivyo.


Hivyo makala Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara

yaani makala yote Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/waziri-wa-elimu-na-mafunzo-ya-amali_14.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar The.Riziki Pembe Juma Azungumza na Watendaji wa Wizara"

Post a Comment

Loading...