Loading...

ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA

Loading...
ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA
link : ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA

soma pia


ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA



Mratibu wa Masoko kampuni ya Harsho Group inayozalisha mifuko mbadala,Caroline Satsif akionyesha wateja waliotembelea katika banda hilo.
Mmoja wa mtendakazi katika kampuni hiyo akionyesha aina ya mifuko ambayo ni rafiki kwa mazingira wataanza kuisambaza kwa wananchi kwa bei nafuu.


Na Vero Ignatus, Kilimanjaro

Wazalishaji wa mifuko mbadala wametakiwa kuchangamkia fursa kuzalisha mifuko kwa wongi ya kukidhi mahitaji ambayo ni rafiki wa mazingira kwani tayari mkoa wa Kilimanjaro umeshapiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki.

Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Anna Mghwira alipotembelea maonyesho ya wiki ya elimu katika uwanja wa Mashujaa Wilayani Moshi ,amesema kuwa wajasiriamali wanaotumia vifungashio vya mifuko ya plastiki wanapaswa kujiianda mpaka muda uliopangwa na serikali Mwezi June mwaka huu waweze kuondokana na matumizi ya plastiki.

“Kwa sasa mkoa wa Kilimajaro ni marufuku kutumia mifuko ya plastiki tumeanza mapema ili watu wajiandae ikifika mwezi wa sita mwaka huu watu wawe kwenye mstari na kuzoea kutumia mifuko mbadala tunashukuru wenzetu wa Harsho Group wameanza kuzalisha mifuko ya kutosha ” Alisema Dkt.Anna

Nae Mratibu wa Masoko kampuni ya Harsho Group inayozalisha mifuko mbadala,Caroline Satsif alisema kwa mkoa wa Kilimanjaro wamejianda vyema kuzalisha mifuko ambayo ni rafiki kwa mazingira na kuisambaza kwa bei nafuu.

Caroline alisema kuwa wanazalisha mifuko laki 5 kwa siku ambayo inatosheleza mahitaji ya mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani pamoja na Tanzania nzima hivyo wamejiandaa kuzi ba pengo la mifuko ya plastiki.Anaeleza kuwa mifuko hiyo inaweza kufuliwa zaidi ya mara tano na iwapo ikitupwa inaweza kuoza na kuwa mbolea katika ardhi.

Mkazi wa Manispaa ya Moshi Roman Mnzava alisema kuwa hatua ya Mkoa wa Killimanjaro kupiga marufuku matumizi ya plastiki utasaidia kuokoa mazingira na hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ambao ni kitovu cha utalii mkoani hapa.


Hivyo makala ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA

yaani makala yote ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/zalisheni-mifuko-mbadala-kwa-wingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZALISHENI MIFUKO MBADALA KWA WINGI MZIBE PENGO LA MIFUKO YA PLASTIKI -DKT. ANNA MGWIRA"

Post a Comment

Loading...