Loading...
title : Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba
link : Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba
Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba
MKUU wa Mawasiliano na Utawala wa Zantel Tanzania, John Sicilima wa kwanza kulia, akimkabidhi shilingi laki tatu (300,000) Suleiman Azizi Zahor, ambaye ni mshindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde, hafla iliyofanyika Chake Chake Pmeba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Zantel Zanzibar Mahammed Baucha wa kwanza kulia, akimkabidhi mshindi wa shilingi lakini mbili (200,000) Ali Shaibu, ambaye ni mshindi wa shindano la tumia Ezypesa na ushinde,hafla iliyofanyika Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
kuu wa Zantel Zanzibar Mahammed Baucha wa kwanza kulia, akimkabidhi zawadi ya simu mshindi Mohmoud Abdalla ambaye ameshinda katika shindano la tumia Ezypesa na ushinde, hafla iliyofanyika chake chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mawasiliano na Utawala wa Zantel Tanzania, John Sicilima wa kwanza kulia akimkabidhi simu mshindi wa simu Ali Mohamed Ali, ambaye ameshinda katika shindano la tumia Ezypesa na ushinde, hafla iliyofanyika Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba
yaani makala yote Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/zantel-yamwaga-zawadi-kwa-washindi-wa.html
0 Response to "Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba"
Post a Comment