Loading...
title : Karibu kwenye ibada Maalum ya kuombea Elimu/ mtihani wa kidato cha sita 2019
link : Karibu kwenye ibada Maalum ya kuombea Elimu/ mtihani wa kidato cha sita 2019
Karibu kwenye ibada Maalum ya kuombea Elimu/ mtihani wa kidato cha sita 2019
Kituo cha Huduma ya Maombi na Neno la Mungu Jijini Mwanza kinakukaribisha kwenye Ibada Maalum ya kuombea elimu/ mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza nchini Tanzania Mei 06 hadi 23, 2019. Ibada hiyo itakafanyika siku ya jumapili Mei 05, 2019 kuanzia saa tisa na nusu alasiri hadi saa kumi na mbili jioni eneo la Pasiansia/ Iloganzara jirani na kiwanda cha mabondo cha wachina.
SOMA>>> Habari mbalimbali za Injili
Hivyo makala Karibu kwenye ibada Maalum ya kuombea Elimu/ mtihani wa kidato cha sita 2019
yaani makala yote Karibu kwenye ibada Maalum ya kuombea Elimu/ mtihani wa kidato cha sita 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Karibu kwenye ibada Maalum ya kuombea Elimu/ mtihani wa kidato cha sita 2019 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/05/karibu-kwenye-ibada-maalum-ya-kuombea.html
0 Response to "Karibu kwenye ibada Maalum ya kuombea Elimu/ mtihani wa kidato cha sita 2019"
Post a Comment