Loading...

Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA

Loading...
Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA
link : Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA

soma pia


Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA

Mbunge na Mwenyekiti wa Kamati inayohusika na Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani Mhe. Eva-Maria Schreiber amefanya ziara ya siku saba hapa nchini. Mhe. Schreiber amepata fursa ya kutembelea mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma na Kigoma, ambapo pia amekutana na wenyeviti wa Kamati mbalimbali za Bunge.

Akiwa nchini Mbunge huyo ametembelea mradi wa maji ujulikanao kama “Seven Towns Urban Upgrading Programme/ Kigoma Urban Water Supply and Sanitation”. Mradi unafadhiliwa na Umoja wa Ulaya na Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW). 

Aidha, mradi huo unahusisha mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Lindi. Kwa upande wa Kigoma, utekelezaji wa mradi huu ulianza mwezi Machi 2013 na utakamilika mwezi Oktoba, 2019.Mhe. Schreiber amekutana na kufanya mazungumzo na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo na waandishi wa habari Mhe. Schreiber amesisitiza umuhimu wa Tanzania kutokusaini Mkataba wa Makubaliano ya Kuichumi (EPA) kati ya Jumuiya ya Umoja wa Ulaya na nchi za Afrika.

Pia alieleza kuwa endapo Tanzania na nchi nyingine za Afrika hazitofaidika na Mkataba huo kwakuwa zitapoteza mapato. 
Sehemu ya waandishi wakimsikiliza kwa makini Mhe. Schreiber 
Mhe. Schreiber akiendelea kuzungumza na waandishi wa Habari. 


Hivyo makala Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA

yaani makala yote Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/05/schreiber-asisitiza-tanzania-kutosaini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA"

Post a Comment

Loading...