Loading...

UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam.

Loading...
UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam.
link : UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam.

soma pia


UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa umoja huo Neema Steven amesema ni muhimu wanawake wangejitambua na kujua changamoto ambazo wanazikabili bila kuwepo kwa wenza wao na badae kutafuta suluhisho ili kusaidia familia zao pasipo kujihusisha na vitendo viovu kama kushiriki kwenye uchangudoa na wizi.

Pia ameweka bayana jinsi kikundi hicho mbali na kupatiwa mafunzo ya ujasiriliamali wanawake hao pia wanafundishwa jinsi ya kujitambua,kujiari,kupatiwa mitaji kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali na kupatiwa masoko nje na ndani ya nchi kupitia biashara zao.

"Ni fursa sasa Kwa wanawake nchi kote kujiunga na umoja huo ambao utaleta mabadiliko katika familia zao na taifa kwa ujumla na kupunguza idadi ya omba omba barabarani na badala yake wanawake kujiari ili kupata fedha zitakazowawezesha kujikimu kiuchumi," alisema steven.

Aidha, ameeleza kuwa tayari kwenye warsha hiyo ya siku tano itawawezesha wanawake ambao tayari wameshajiunga kwenye kikundi hicho kupika chakula ambacho kitauzwa kwa bei nafuu lengo likiwa ni kukusanya fedha hizo na kusaidia watoto yatima kwenye vituo mbalimbali nchini ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali wameshaunga mkono Jambo hilo .

" Wasanii wengi kama dayna,madee,dk.cheni wameshafika kwenye warsha hii na wamelipia vyakula hii ikiwa ni mchango ambao umeingia kwenye mfuko wa kikundi wenye lengo la kusaidia watoto yatima," alimalizia steven


Kwa upande wake msanii wa tasnia ya bongofleva ambae alijizolea umaarufu kutokana na kujihusisha na Uhusiano wa kimapenzi na mvulana mwenye umri mdogo hollystar ,sister Fay amesema licha ya kuwa na mikasa ya kuwa ni miongoni mwa wanawake ambao wanatunza familia zao pamoja na watoto bila kuwepo kwa baba au waume zao.

"Ifike pahala wasanii tushiriki kwenye majukumu ya kijamii sio kuwapa burudani tu au kutaka kulipwa pesa katika majukumu au shughuli za kijamii tu bali kuna muda tuwe tunaisaidia na kujitoa kwa hali na mali kusaidia jamii inayotuzunguka," alisema fey.

Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wanaolea familia pasipo kupata ushirikiano kutoka kwa mzazi mwenzie ina lengo la kupunguza kasi ya madanguro ,pamoja na wanawake wanazurura mitaani kwa ajili ya kutafuta riziki kwa familia zao

Hata hivyo ametoa rai kwa wanawake wote ambao wangependa kujiunga na kikundi hicho kuwa ni sehemu salama na utaweza kupata mafunzo ya kujitambua na elimu juu ya kuanzisha biashara na jinsi ya kukuza biashara yako pamoja na kupatiwa mitaji na masoko.
Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wajasiAliamali hasa wanaotafuta ridhiki na kulea familia pasipo kupata msaada kutoka kwa mzazi mwenzie Neema Steven pamoja na mdau wa kikundi hicho ambae ni msanii wa bongofleva sister fey wakizungumza wakati wa mafunzo ya ujasiliamali kwa wanawake wanaolea familia zao bila kuwepo kwa mzazi mmoja (SINGLE MOTHER'S)


Hivyo makala UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam.

yaani makala yote UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/05/umoja-wa-wanawake-wajasilimali-single.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UMOJA wa wanawake wajasilimali 'SINGLE MOTHERS'waendelea na mafunzo jijini Dar es salaam."

Post a Comment

Loading...