Loading...
title : Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza
link : Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza
Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza
Tarehe 29 APRILI, 2017 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha Rose Migiro aliwatembelea Diaspora waishio Nchini Wales.
Katika mkutano wake na Diaspora hao, Balozi alishiriki uzinduzi rasmi wa Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales (WAWE-TZDiaspora).
Jumuiya hiyo inawajumuisha Diaspora Waishio katika miji ya Bristol, Bath, Somerset, Wiltshire, Newport, Cardiff na Swansea.
Katika uzinduzi huo, Balozi aliwapongeza Diaspora wa Wales na Uongozi Wao pamoja na kutoa wito wa kushirikiana kwa karibu na Ubalozi wa London kupitia uongozi wako. Alihimiza umuhimu wa Diaspora kuwa wamoja na kushirikiana bila kubaguana.
Diaspora hao waliagana na Balozi kwa kumuandalia chakula maalum cha kumshukuru kwa kuwatembelea na kwa heshima aliyowapa kuzindua Jumuiya ya WAWE-TZ Diaspora.
.Balozi akizindua Jumuiya ya WAWE-TZ Diaspora kwa kupokea Katiba ya Jumuiya hiyo.
Balozi akizungumza na wanachama wa WAWE-TZ
Balozi na Uongozi wa Jumuiya ya WAWE-TZ
Balozi akishiriki chakula alichoandaliwa na Jumuiya ya WAWE-TZ
Hivyo makala Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza
yaani makala yote Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/balozi-asha-rose-migiro-azindua-jumuiya.html
0 Response to "Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza"
Post a Comment