Loading...

HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA

Loading...
HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA
link : HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA

soma pia


HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akipokea mpira kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi jana katika hafla maalum ya kuichangia timu ya taifa yaa vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys iliyofanyika hoteli ya Serena, Dar ea Salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kupiga penalti kulia. Kushoto ni gwiji wa soka ya Tanzania, Kitwana Manara aliyeanza kama kipa na kumaliza kama mshambuliaji ambaye alikuwa kipa jana 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali 
Balozi wa Korea nchini Tanzania, Song Geum-young alikuwepo jana
Kutoka kulia ni Charles Hillary, Mahmoud Zubeiry na Kitwana Manara katika hafla hiyo jana  
Shughuli ilipendeza jana kutokana na wadau mbalimbali kujitokeza
Maofisa wa TFF, Eliud Mvella kulia na Wakili Emmanuel Muga
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliojitokeza kwenye hafla hiyo
Wataalamu wa Azam TV ambaoo walirusha 'live' shughuli hiyo wakiwa kazini jana
Fatma wa Bodi ya Ligi kulia na Mariam wa TFF kushoto


Hivyo makala HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA

yaani makala yote HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/hafla-ya-uchangiaji-serengeti-boys.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA"

Post a Comment

Loading...