Loading...

BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR

Loading...
BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR
link : BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR

soma pia


BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR

Mkurugenzi wa kituo cha mazoezi ya Bodyline Health &Fitness, Abbas Jaffer Ali  (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akitangaza tamasha la michezo linalotarajiwa kufanyika Aprili 22, 2017 Mayfair jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Katibu Mkuu - Shirikisho la Watunisha Misuli Tanzania, Francis Mapugilo (kulia) na mwalimu wa mazoezi.
Kituo cha mazoezi cha Bodyline Health& Fitness kimeandaa tamasha la mazoezi litakalofanyika kesho jumamosi Mayfair Msasani jijini Dar es Salaam.
Akizungumza mkurugenzi wa Bodyline Health& Fitness, Abbas Jaffer Ali alisema kuwa lengo la tamasha hilo ni kuwajenga watanzania wapende kufanya mazoezi ili kuimalisha afya zao.
Aliongeza kuwa katika tamasha hilo kutakuwa na michezo mbali mbali ikiwemo shindano la kutunisha mishuli, kuogelea na viungo vya mwili.
 Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano.
Katibu Mkuu - Shirikisho la Watunisha Misuli Tanzania, Francis Mapugilo (katikati) akisisitiza watzania kujitokeza kwa wingi kushiriki mazoezi.
 Baadhi ya washiriki wa mchezo wa kutunisha misuli wakionyesha umahili wao.


Hivyo makala BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR

yaani makala yote BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/bododyline-health-fitness-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BODODYLINE HEALTH & FITNESS KUFANYA TAMASHA LA MICHEZO KESHO APRILI 22, 2017 JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...