Loading...
title : CGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania
link : CGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania
CGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P. Makakala akieleza jambo kwa Mufti Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, alipomtembelea Mufti Ofisini kwake Kinondoni leo asubuhi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P. Makakala akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisini kwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, leo asubuhi Makao Makuu ya BAKWATA, Kinondoni, Dar es Salaam. Katikati ni Mshauri wa Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Khalid.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P. Makakalla akiwa katika picha ya pamoja na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, pamoja na baadhi ya Masheikh na Maafisa wa Ofisi ya Mufti leo asubuhi Makao Makuu ya BAKWATA, Kinondoni, Dar es Salaam
Hivyo makala CGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania
yaani makala yote CGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/cgi-atembelea-ofisi-ya-mufti-wa-tanzania_18.html
0 Response to "CGI Atembelea Ofisi Ya Mufti Wa Tanzania"
Post a Comment