Loading...

DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA

Loading...
DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA
link : DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA

soma pia


DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA

Na Mwamvua Mwinyi,Mkuranga

MKUU wa wilaya ya Mkuranga,mkoani Pwani, Filberto Sanga,ametoa mwezi mmoja kwa vyama vya ushirika vya msingi vya korosho(AMCOS), ambavyo vimehusika kufanya ubadhilifu wa fedha za korosho kwa wanunuzi,kuzirudisha ndani ya muda huo.

Amesema ameshakubaliana nao na wameahidi kuzirejesha kabla hajawachukulia hatua kali za kisheria. Sanga amechukua hatua hiyo kufuatia mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo,kuvipa wiki mbili vyama hivyo ,kwenda kujieleza kwa wakuu wa zao ikiwemo Rufiji,Kibiti na Mkuranga .

Akizungumza na baadhi ya wananchi wilayani hapo katika kata ya Msonga,Njianne,kitomondo na Mwarusembe,alisema hujuma hizo hazivumiliki. Aidha Sanga, alisema mfumo wa stakabadhi ghalani ni mfumo wenye tija kwa wakulima hivyo haupaswi kuchezewa. 

Alitoa rai kwa wakulima wa korosho kuacha kukubali kurubuniwa na madalali ama wanunuzi wachache hali inayosababisha kukosa mapato kulingana na korosho zao. Mkuu huyo wa wilaya ,alikemea tabia ya baadhi ya  watu wanaosafisha mashamba kwa kutumia kuchoma moto.

Alisema kitendo cha kuchoma moto mashamba kunaharibu mazingira ikiwemo kukata miti ovyo. Katika hatua nyingine, Sanga aliwaasa wananchi,kila familia kulima heka mbili za zao la mhogo. Alihimiza kupanda mazao yanayostahimili ukame na kukomaa haraka ikiwemo mhogo, mtama, viazi vitamu na mikunde.

Sanga alieleza kwamba, akiwa na timu yake watapita kuhakiki kila familia kama imefuata agizo hilo. 


Hivyo makala DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA

yaani makala yote DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/dc-sanga-avitolea-povu-vyama-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI MMOJA KURUDISHA FEDHA"

Post a Comment

Loading...