Loading...

Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Loading...
Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi
link : Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

soma pia


Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Mwambawahabari  Makamu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Halotel Pham Dinh Quan (kulia) akiwaongoza wafanyakazi wenzake kutoa zawadi kwa mmoja wa mama wa watoto wenye vichwa vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).


Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu ya Halotel, Stella Pius (kulia) na wafanyakazi wenzake wakitoa zawadi kwa mmoja wa mama wa watoto wenye matatizo ya vichwa vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)
Wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Halotel wakiwa katika picha ya pamoja nje ya wodi
ya watoto ya Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) kabla ya kutoa zawadi ya Pasaka kwa watoto hao.    



Wito umetolewa kwa jamii ya watanzania kuacha mila potofu inayopelekea tabia ya baadhi ya wazazi kuwaficha watoto wenye matatizo mbalimbali hasa  tatizo la kichwa kikubwa na mgongo wazi bali wawapeleke hospitali mapema ili wapate matibabu kwani wanaweza kupona endapo wakiwahishwa  hospitali.


Wito huo umetolewa na Afisa Mawasiliano mwandamizi wa Hospitali ya Mifupa (MOI) Bi. Mary Ochieng, wakati akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa kampuniya simu ya Halotel walipotembelea wodi za watoto hao pamoja na kutoa misaada ya kijamii, akizungumza na wafanyakazi hao Ochieng, amesema kuwa licha ya Taasisi hiyo kufanya jitihada kubwa za kutoa elimu na kufanya
upasuaji kwa watoto hao bure bado kuna baadhi ya wazazi wameendelea na tabia ya kuwaficha watoto wao.

“Tangu Taasisi yetu ichukue jukumu hili imefanya kazi kubwa sana, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali tumeweza kutoa matibabu kwa watoto wengi, ila changamoto kubwa bado
inabaki kwa baadhi ya wazazi ambao wanawaficha watoto wao pale  inapotokea wakagundua watoto wao wana matatizo ya vichwa vikubwa au mgongo wazi” Alisema nakuongeza.


Hivyo makala Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

yaani makala yote Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mila-potofu-kikwazo-matibabu-kwa-watoto_17.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi"

Post a Comment

Loading...