Loading...
title : KAMPUNI YA TTCL YATOA MSAADA WA PASAKA KWAA YATIMA
link : KAMPUNI YA TTCL YATOA MSAADA WA PASAKA KWAA YATIMA
KAMPUNI YA TTCL YATOA MSAADA WA PASAKA KWAA YATIMA
Mwambawahabari
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula mbalimbali na vinywaji katika vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa ajili ya kusherekea Siku Kuu ya Pasaka. Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni nne umetolewa leo Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa kampuni hiyo kurejesha sehemu ya faida kwa jamii hasa inayoitaji msaada.
Miongoni mwa vyakula vilivyotolewa ni pamoja na Unga wa sembe, mchele, sukari, chumvi, mafuta ya kula, maji, soda na mbuzi wawili kwa ajili ya watoto kufurahiya siku kuu hiyo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi bidhaa hizo, Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi alisema vituo vilivyonufaika na msaada huo ni Kituo cha Watoto wetu cha Kimara Suka na Valentino Children Home cha Buza vyote vya jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi msaada huo kwa niaba ya Kaimu Ofisa Mtendaji wa TTCL, Waziri Kindamba, Mushi alisema huo ni utaratibu wa kawaida wa kampuni hiyo kusaidia vikundi mbalimbali vinavyoitaji msaada hasa kipindi hiki cha sikuu kuu. Alisema TTCL imekuwa ikirejesha sehemu ya faida yake kwa jamii kwa kusaidia makundi mbalimbali ili kuendeleza mahusiano mazuri na wateja wake.

Hivyo makala KAMPUNI YA TTCL YATOA MSAADA WA PASAKA KWAA YATIMA
yaani makala yote KAMPUNI YA TTCL YATOA MSAADA WA PASAKA KWAA YATIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA TTCL YATOA MSAADA WA PASAKA KWAA YATIMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/kampuni-ya-ttcl-yatoa-msaada-wa-pasaka.html
0 Response to "KAMPUNI YA TTCL YATOA MSAADA WA PASAKA KWAA YATIMA"
Post a Comment