Loading...

Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma

Loading...
Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma
link : Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma

soma pia


Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma

Mwambawahabari


Vikundi vya Jooging
kutoka Dodoma vikiwa katika
mazoezi ya kukimbia kutoka Viwanja vya Nyerere
Square hadi Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.





Vikundi vya Jooging
kutoka Dodoma vikiwa katika
mazoezi ya viungo katika viwanja vya
Kilimani Club Mjini Dodoma.


Mbunge wa Buyungu Mhe.
Kasuku Bilago(kushoto)
Mbunge wa Kiwani (Zanzibar) Mhe. Abdalla Haji Ali (kulia) wakifanya mazoezi
ya
viungo katika katika viwanja vya
Kilimani Club Mjini Dodoma ikiwa ni kuunga mkono wito wa Makamu wa Rais wa
Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan wa kufanya
mazoezi.

Mratibu wa Michezo
Kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI
Bw. Salum Mkuya akizungumza navikundi vua Jogging Club wakati wa mazoezi
yaliyofanyika
katika Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.

Kamanda wa Polisi
Wilaya ya Dodoma Mjini Daniel
Shija akizungumza na vikundi vua Jogging Dodoma na kuwahakikishia Ulinzi na
usalama katika mazoezi yao.

Mbunge wa Buyungu Mhe. Kasuku
Bilago(kushoto)
Mbunge wa Kiwani (Zanzibar) Mhe. Abdalla Haji Ali(katikati) pamoja na
Mbunge wa Mtera
Mhe. Livingstone Lusinde(kulia) wakijadiliana jambo na kupongezana mara baada ya kumalizika kwa
mazoezi katika
viwanja vya Kilimani Mjini Dodoma.
Picha/Habari na Raymond
Mushumbusi


Ofisi
ya Rais TAMISEMI na baadhi ya wabunge wameongoza vikundi vya Jogging Mkoani
Dodoma
kufanya mazoezi kuunga mkono agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa
Tanzania Mhe. Mama Samia Sluhu Hassan wa kufanya
mazoezi.

Akizungumza
baada ya mazoezi hayo Afisa Tawala
kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bibi Rose Lugendo amewaomba wakazi wa Dodoma
wajitokeze kwa wingi kufanya mazoezi kwa afya zao na kuimarisha mahusiano
baina
yao.

“Napenda
kuwashauri wakazi wa Dodoma kujiunga na Jogging Clubs na kuwa na Utamaduni
wa
kufanya mazoezi kwa Afya zao” alisisitiza Bibi Rose.

Kwa
upande wake Mbunge Wa Mtera Mhe. Livingstone Lusinde amewaasa vijana
kujitokeza
kufanya mazoezi kila siku na sio kusubiri kufanya mazoezi mara moja kwa
mwezi
kwasababu mazoezi ni sehemu ya maisha.

“Vijana
tumieni fursa hii kufanya mazoezi na kujenga afya zenu mazoezi yawe sehemu
ya
maisha yenu” alisisitiza Mhe. Lusinde.

Naye
Mbunge wa Buyungu Mhe. Kasuku Bilago amevipongeza vikundi vya Jogging Dodoma
kwa kuleta mwamko wa mazoezi katika mkoa wao na kujenga desturi ya watu
kupenda
mazoezi na michezo.

Aidha
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Dodoma Mjini Daniel Shija amewahakikishia ulinzi
wanamazoezi
na michezo kwa ujumla katika sehemu mbalimblai ambazo watakuwa wanafanya
michezo.


Hivyo makala Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma

yaani makala yote Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/wafanyakazi-ofisi-ya-rais-tamisemi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wafanyakazi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wabunge washiriki mazoezi ya pamoja Dodoma"

Post a Comment

Loading...