Loading...

Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake

Loading...
Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake
link : Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake

soma pia


Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake

Mheshimiwa Nabii Mkuu Dr GeorDavie Royal Mkuu ,   jana amezindua rasmi kitabu cha " KUKIWA NA FOLENI" kilichoandikwa na Wiseman Luvanda.
Pia Nabii Dr.GeorDavie alimpongeza kwa kitendo chake  alichoamua kufanya kwa kuwa balozi wa barabarani  kwa kutoka Jijini Dar es salaam hadi mkaoni Arusha wa usafiri wa baiskeli.

Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo mtunzi wa kitabu hicho alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu  na si kulalamika kila siku,  jambo linalopelekea kuibuka kwa makundi mbalimbali kama vile Panya Road na mengineyo.

Aidha mwandishi huyo amewataka wadau mbalimbali kumuunga mkono katika kukinunua kitabu hicho cha " KUKIWA NA FOLENI" , ambacho pia amekiandika kwa lugha ya Kiswahili  ili kuweza kukisambaza nchi nzima.
Tazama baadhi ya picha za tukio hili hapo chini
Pichani ni Mwandishi wa kitabu hicho Wiseman Luvanda, Akizungumza na baadhi ya wadau waliohudhuria kongamano hilo jana Jijini Arusha. Picha na msumbanews blog
Nabii Mkuu Dr GeorDavie Royal Mkuu akipokea kitabu kutoka kwa Mwandishi Wiseman Luvanda.Picha na msumbanews blog
Baadhi ya wadau mbali waliojitokeza kwenye kongamano  la kuinuliwa viwango na uzinduzi wa kitabu hicho.Picha na msumbanews blog
Mwandishi Wiseman Luvanda akifuatilia kwa makini kongamano la kuinuliwa viwango ambalo lilifuatana na uzinduzi wa kitabu chake.Picha na msumbanews blog


Hivyo makala Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake

yaani makala yote Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/kijana-aliyetoka-dar-hadi-arusha-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake"

Post a Comment

Loading...