Loading...

Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali

Loading...
Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali
link : Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali

soma pia


Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es salaam na Pwani, Vick Bishubo (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa Dar es Salaam "NMB Business Club' waliokutanishwa na benki hiyo jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao. Afisa Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa '"NMB Business Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao. Baadhi ya wafanyabiashara walioshiriki mkutano huo wakizungumza kuelezea mafanikio yao juu ya huduma za mikopo na ukuaji wa biashara zao.

BENKI ya NMB imekutanisha wafanyabiashara zaidi ya 500 wa jijini Dar es Salaam waliopo katika jumuia ya wafanyabiashara wa NMB "NMB Business Club" kwa lengo la kutoa mafunzo mbalimbali ya biashara pamoja na mafunzo ya kodi ili kukuza biashara zao. 

Kundi hilo la NMB Business Club mkoa wa Dar es Salaam limekutanishwa kwa pamoja ili wafanyabiashara hao waweze kujuana na kubadilishana uzoefu katika shughuli zao jambo ambalo litachangia wao kushikamana na kunufaika zaidi na huduma zinazotolewa na benki hiyo. 

Akizungumza na wafanyabiashara katika mkutano huo, Afisa Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela alisema katika semina hiyo wataalam wa biashara wa Benki ya NMB watatoa mafunzo mbalimbali ya namna ya kukuza biashara na kuelezea fursa anuai zilizopo ndani ya benki hiyo ili wateja wao waendelee kunufaika nazo. Alisema mbali ya kutoa mafunzo ya biashara na kodi wana NMB Business Club walioshiriki katika mkutano huo watapata fursa ya kutoa mrejesho dhidi ya huduma wanazopewa ili benki iangalie namna ya kuzishughulikia. Sehemu ya wafanyabiashara walioshiriki mkutano huo.



Hivyo makala Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali

yaani makala yote Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/wafanyabiashara-dar-wanufaika-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali"

Post a Comment

Loading...