Loading...
title : KRC GENK YA SAMATTA YAFIA NYUMBANI EUROPA LEAGUE
link : KRC GENK YA SAMATTA YAFIA NYUMBANI EUROPA LEAGUE
KRC GENK YA SAMATTA YAFIA NYUMBANI EUROPA LEAGUE
Celta Vigo imepata safe ya bao 1-1 dhidi ya Genk ya Ubelgiji ambayo anaichezea Mtanzania Mbwana Samatta.
Sare hiyo inaivusha Celta hadi nusu fainali ya Europa League kwa kuwa mechi ya kwanza nyumbani ilishinda kwa mabao 3-2.
Juhudi za Samatta kuhakikisha Genk inasonga mbele dhidi ya timu hiyo ya Hispania, ziligonga mwamba.
Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Cristal Arena ilikuwa ngumu na Celta walianza kupata bao katika dakika ya 63 kupitia Pione Sisto lakini wenyeji wakasawazisha kupitia Leandro Trossard.
Hivyo makala KRC GENK YA SAMATTA YAFIA NYUMBANI EUROPA LEAGUE
yaani makala yote KRC GENK YA SAMATTA YAFIA NYUMBANI EUROPA LEAGUE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KRC GENK YA SAMATTA YAFIA NYUMBANI EUROPA LEAGUE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/krc-genk-ya-samatta-yafia-nyumbani.html
0 Response to "KRC GENK YA SAMATTA YAFIA NYUMBANI EUROPA LEAGUE"
Post a Comment