Loading...

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA

Loading...
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA
link : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA

soma pia


MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo mafupi leo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa mradi huo, kuhusiana na mradi wa maji unaojengwa katika kijiji cha Mabama wilayani Uyui mkoani Tabora,Makamu wa Rais Mama Samia atazindua mradi huo wa maji utakao wafikia watu zaidi ya elfu 40 katika vijiji 32 mradi huu umedhaminiwa na serikali ya Japan kupitia shirika lake la JICA.Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akileza jambo mara baada ya kupata maelezo mafupi leo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa mradi huo, kuhusiana na mradi wa maji unaojengwa katika kijiji cha Mabama wilayani Uyui mkoani Tabora,Makamu wa Rais Mama Samia atazindua mradi huo wa maji utakao wafikia watu zaidi ya elfu 40 katika vijiji 32 mradi huu umedhaminiwa na serikali ya Japan kupitia shirika lake la JICA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia yaliyokuwa yakijili kabla ya uzinduzi wa mradi wa maji utakao wafikia watu zaidi ya elfu 40 katika vijiji 32 mradi huu umedhaminiwa na serikali ya Japan kupitia shirika lake la JICA.Kulia ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Inj.Gerson Lwenge na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mh.Prof.Kitila Mkumbo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Mh.Aggrey Mwanri.
Baadhi viongozi na wawakilishi wa wananchi na wadau mbalimbali wakiwa katika tukio hilo la uzinduaji mradi wa maji,ambapo Mgeni rasmi ni Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya vijana wakishiriki kuhudhudia tukiao hilo
Baadhi ya Wanachama wa CCM na wananchi wa kwa ujumla wakifurahia kwa tukio hilo adhimu la kuzinduliwa mradi mkubwa wa maji unaozindulia katika kijiji cha Mabama wilayani Uyui mkoani Tabora,Makamu wa Rais Mama Samia atazindua mradi huo wa maji utakao wafikia watu zaidi ya elfu 40 katika vijiji 32 mradi huu umedhaminiwa na serikali ya Japan kupitia shirika lake la JICA.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan_29.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA"

Post a Comment

Loading...