Loading...

MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO

Loading...
MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO
link : MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO

soma pia


MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO

Timu ya soka ya Mbeya City imepata mfadhili mpya wa timu hiyo ambaye atakuwa anasimamia maswala yote ya vifaa vya michezo ikiwemo jezi zote za timu hiyo zitakazotumiwa na wachezaji na zile za mashabiki kuanzia mwezi wa saba mwaka huu. Viongozi hao wamesaini mkataba wa udhamini huo uliofanyika katika ukumbi mdogo wa hoteli ya Mbeya Hill View kwa kuwaalika wadau wa mbeya city na vyombo vyote vya habari.
Mwenyekiti wa Timu ya Mbeya City, Mussa Mapunda (kushoto) akipokea mkataba kutoka kwa Kiongozi wa Sports Master ambao ni wadhamini wapya watakaosimamia maswala yote ya vifaa vya michezo vya Timu hiyo, Fadhili Nsemwa, baada ya kusainiana makubaliano.
Mwenyekiti wa Timu ya Mbeya City, Mussa Mapunda akisaini mkataba wa makubalino na uongozi wa Kampuni ya Sports Master chini yake Fadhili Nsemwa (kulia).
Mfano wa Vifaa vya michezo vitakavyotumiwa na Timu ya Mbeya City kuanzia msimu ujao.
Picha ya pamoja.


Hivyo makala MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO

yaani makala yote MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mbeya-city-yapata-mdhamini-wa-vifaa-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO"

Post a Comment

Loading...