Loading...
title : MUINGEREZA ANTONY JOSHUA ASHINDA SH BILION 42.6 NDANI YA USIKU MMOJA
link : MUINGEREZA ANTONY JOSHUA ASHINDA SH BILION 42.6 NDANI YA USIKU MMOJA
MUINGEREZA ANTONY JOSHUA ASHINDA SH BILION 42.6 NDANI YA USIKU MMOJA
Ushindi wa Muingereza Anthony Joshua miaka 27 dhidi ya bondia mkongwe wa Urusi, Wladimir Klitschko mwenye miaka 42 katika pambano kali la ngumi za kulipwa lililofanyika jana usiku jumamosi tarehe 29/04/2017, imemuingizia kitita cha pauni milioni 15.
Kitita hicho maana yake ni Sh bilioni 42.6 ambazo ameingiza kwa usiku huo mmoja.
Pambano kati ya mabondia hao lilisubiriwa kwa hamu kubwa na lilikuwa ni la kukata na shoka kwa kuwa ilikuwa ni ngumi jiwe raundi ya kwanza hadi 11 lilipofikia tamati kwa Joshua kushinda kwa TKO.
Ushindi huo unamfanya Antony apambane kuingia katika orodha ya wanamichezo matajiri zaidi Uingereza inayoongozwa na mchezaji Wayne Rooney anayekipiga Manchester United.
Watu mbalimbali maarufu walihudhuria pambano hilo na kumpongeza Antony kwa ushindi huo,
Jose Mourihno, Kocha wa Manchester United akimpongeza Antony kufuatia ushindi huo |
Wachezaji wa Arsenal, Ox-Chamberlin (Kushoto) na Chambers (Kulia) wakimpongeza Antony kwa ushindi |
Hivyo makala MUINGEREZA ANTONY JOSHUA ASHINDA SH BILION 42.6 NDANI YA USIKU MMOJA
yaani makala yote MUINGEREZA ANTONY JOSHUA ASHINDA SH BILION 42.6 NDANI YA USIKU MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MUINGEREZA ANTONY JOSHUA ASHINDA SH BILION 42.6 NDANI YA USIKU MMOJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/muingereza-antony-joshua-ashinda-sh.html
0 Response to "MUINGEREZA ANTONY JOSHUA ASHINDA SH BILION 42.6 NDANI YA USIKU MMOJA"
Post a Comment