Loading...

MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR

Loading...
MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR
link : MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR

soma pia


MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa UWT kutoka mikoa minne ya Unguja.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa UWT Unguja ambapo aliwaambia washikamane katika kukitetea Chama kilichobeba maana halisi ya Mapinduzi na alihimiza Vijana wapewe nafasi kwa wingi kwani wao wananguvu na kasi ya siasa ya wakati huu.
 Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake,na Watoto Mhe, Maudline Castico akizungumza wakati wa mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wa UWT Unguja .
 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akizungumza kwenye mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wa UWT kwenye ukumbi wa NEC Afisi Kuu Kisiwandui, Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa Filamu nchini maarufu kama Bongo Movie waliopita kumsabahi kwenye Makao Makuu ya CCM, Kisiwandui Zanzibar.


Hivyo makala MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR

yaani makala yote MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mhe-samia-akutana-na-viongozi-wa-uwt.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MHE. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...