Loading...
title : DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA
link : DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA
DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda wa Kiwanda cha Uvuvi Perun Perikanan Nchini Indonesia akipotembelea Kiwanda hicho leo kuangalia maendeleo ya kazi zake katika kuzindika Samaki wa aina mbali mbali katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau,{Picha na Ikulu,} 02/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi na baadhi ya watendaji katika Kiwanda cha Samaki cha Perun Perikanan Nchini Indonesia wakati alipofanya ziara ya kutembelea Kiwanda hicho pamoja na Ujumbe aliofutana nao katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,{Picha na Ikulu,} 02/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi aliofuatana nao katika ziara ya kutembelea Kiwanda cha Samaki Perun Perikanan Nchini Indonesia pamoja na Mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda (wa pili kulia) katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau,na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe,Amina Salum Ali,{Picha na Ikulu,} 02/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Samaki Perun Perikanan cha Jakarta Nchini Indonesia Nd,Risyanto Suanda,wakati alipotembelea Kiwanda hicho jana akiwa katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla, na Ujumbe wake
Hivyo makala DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA
yaani makala yote DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dkshein-atembelea-kiwanda-cha-samaki_2.html
0 Response to "DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA"
Post a Comment